Friday, July 18, 2014

Ndege ya Malaysia yaanguka katika mpaka wa Ukraine na Russia











Zaidi ya watu 250 wamehofiwa kufa katika ajali ya ndege iliyotokea Julai 17 mwaka huu kwenye mpaka baina ya Urusi na Ukrain.

No comments:

Post a Comment