Saturday, May 9, 2015

Mbwa mrefu zaidi duniani

Katika dunia ya maajabu ni kwamba, yapo maajabu mengi lakini hili ni zaidi ya maajabu kwani rekodi mbalimbali duniani zimeonyesha kuwa huyu ndiye mbwa mwenye urefu mkubwa zaidi duniani akiwa na urefu wa mita 1.12 (sawa na futi 3). 
Jina la Mbwa huyu ni Zeus amnaye alifariki miezi  michache iliyopita huko Michigan Marekani. Zeus alikuwa akilimikiwa na Kevin Doorlag raia wa Marekani.



Zeus (kulia) akiwa na mmiliki wake Kevin Doorlag

No comments:

Post a Comment