Mmoja wa viongozi wa juu wa Chama cha Wananchi (Caf) Juma Hadji Duni amejiunga na Chama cha Demokrasia na Manendeleo (Chadema) mchana huu na kwamba wakati huu anapigiwa kura ili kumuidhinisha kuwa Mgombea Mwenza wa Chedema katika mkutano mkuu wa chama unaendelea hivi sasa ambapo Edward Lowasa naye anapigiwa kura na kuteuliwa mgombea Urais wa Jamhuri wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment