Tuesday, July 15, 2014

Vaa kandambili kampeni

Kwa kugundua umuhimu wa Afya na  matatizo yanayowakabili ndugu zetu walio magerezani (WAFUNGWA)

ChingaOne blog na marafiki zake wanakualika kwenye kampeni ya 
VAA KANDAMBILI 

Ukiwa kama Ndugu, Rafiki wa karibu na  Jamaa wa Wafungwa au ChingaOne blog 
tunaomba mchango wako katika kampeni hii

Tunaomba msaada wa pea kuanzia moja ya Kandambili ili iweze kuwasaidia ndugu zetu 
leo na kesho

Changia sasa! Changia leo! 
kwani Afya ni haki ya kila mtu

kwa maelezo kuhusu kuchangia Kampeni hii tuandikie kwa barua pepe
chingaone @gmail.com
au piga simu kwa No.
0712221744
0787221744
0754798920

Afya ni  haki ya watu wote
Nunua kandambili leo


Waliochangia hadi sasa

1. Jennifer Livigha ....................... Pea 14 (Bata)
2. Leah Mtalai ...................... Tshs. 2,000 (pea 1 Bata..... Salio Tshs. 200/=
3. George Ndosi ................... Tshs. 15,000 (pea 8 .... Bata) Salio Tshs. 600/=
4. Fazy Kary ........................Tshs. 5,000 (Pea 2 ..... Bata) Salio Tshs. 1,400/=
5. Salio (200+600+1400) .... Tshs. 2,200 (Pea 1..... Bata ) Salio  Tshs. 400/=
6. Shadrack Mbogela ....... Tshs. 11,000 (pea 6 ...... Bata) Salio Tshs. 200/=
7. Erick Shiyo ................... Tshs. 10,000 (Pea 5 ...... Bata) Salio Tshs. 1,000/=
8. Omary Khamisi ........... Tshs. 20,000 (Pea 11...... Bata)  Salio Tshs 200/=
9.  Salio (400+200+1,000+200)............ (Pea 1....... Bata)
10. Anonymous - Germany  Tshs. 106,347 ( Pea 59 ...... Bata) Salio Tsh. 147=
11. Vincent Nyerere - Mbunge wa Musoma CHADEMA .....Tshs. 90,000 (Pea 50.....Bata)
12. Jestina George blog .... Tshs. 120,000 (Pea 66..... Bata) Salio Tshs. 1,200
13. Christina Chengula ....... Kandambili Pea 1
14. Eden Wayimba ............. Kandambili Pea 1
15. Einot  Lekaaya ............. Kandambili Pea 2
16. Dhiyant Patel ............... kandambili Pea 1
17. Sandra John ................. Kandambili pea 3
18. Humphey Simba .......... Tshs. 20,000 kandambili pea  11 Salio Tshs. 200

Nia na madhumuni yetu ni kukusanya kandambili  - 1,000
Kandambili tulizokusanya hadi sasa  ni pea -   243
Bado kandambili pea  - 757

No comments:

Post a Comment