Friday, May 8, 2015

Hii ndiyo Afghanistan kabla ya mwaka 2000

Watu wengi wa kizazi cha sasa wamekuwa haifahamu vyema historia ya taifa la Afghanistan ambayo miaka ya 1960 ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye kufuata utawala wa kifalme.
Mwaka 1933 hadi mwaka 1973 Afghanistan ilikuwa ikitawaliwa na mfalme Zahir Shah. Baadaye yalitokea mapinduzi ya Aprili 1978  chini ya Chama cha Kikomonisti cha PDPA.
Lakini kwa hizi ni baadhi ya picha zilizopatikana katika moja ya maktaba nchini Marekani ambazo zinaonenyesha nchi hiyo ilivyokuwa wakati wa ukomonisti kabla ya utawala wa Taliban chini ya Mullar Omar na wenzake kama Osama Bin Laden.
Katika kipindi hicho, taila hilo la Mashariki ya Mbali lilikuwa  walikuwa wakiongoza nchi hiyo kwa misingi ya Kiislam ingawa hata kabla yao taifa hilo lilikuwa taifa la Kiislam ila si kwa siasa kali kama zilizokuwepo wakati wa utalawa wa Taliban. 





























No comments:

Post a Comment