Zanzibar. WATU watatu wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kutaka kujipatia kiasi cha shilingi bilioni 500 kwa njia ya udanganyifu.
Watuhumiwa hao wa utapeli wa kimataifa ni pamoja na raia wawili wa kigeni na
mmoja Mtanzania baada ya kujaribu kujipatia shilingi bilioni 500 kwa njia za
udanganyifu kutoka serikali ya mapinduzi ya Zanzibar wamefikishwa
mahakama ya mkoa ya Vuga mjini Zanzibar. (Chanzo ITV).
No comments:
Post a Comment