Hiki ni kibali cha mahakama kilichotoan idhini ya kuhamishwa kwa wafanyabiashara katika eneo hilo.
Wafanya biashara wakijaribu kuokoa mali zao wakati wa mazoezi hilo.
Baadhi ya wafanya biashara wakizungumza na vyombo vya habari.
Jumla ya maduka zaidi ya 20 yamevunjwa katika mtaa wa MSASANI jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limefanywa na kampuni ya MEM Auctioeers & General Brokers ltd ya jijini Dar es Salaam kufutia hukumu iliyotolewa na mahakama.
Bado tunaendelea kutafuta kila kitu na jinsi mambo yote yanavyokwenda na kwa uwezo wa Mungu tutajitajidi kupata wahusika wa pande zote mbili ili kujua ukweli endele akusomba mtandau huu.
No comments:
Post a Comment