Baadhi ya wachezaji wa Serengeti Boys |
WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ wamepewa mbinu za kufanya ili kiuweza kuendelea ambapo moja ya mbinu hizo ni pamoja na kukwepa masuala ya upangaji wa matokeo.
Mkurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Uchunguzi katika Michezo (ICSS), Stuart Page katika semina ya siku moja maalum kwa wachezaji hao iliyofanyika leo katika majengo ya Uwanja wa Karume, Dar es Salaam ikiwa ni harakati za kuhakikisha kwamba timu hiyo inafanya vizuri katika mchezo unaikabili dhidi ya Afrika Kusini.
Picha kwa hisani ya Binzubeiry
No comments:
Post a Comment