Hiki ndicho akilichokisema Prof: Jay
Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Joseph Haule amesema kuwa leo ametimiza miaka 40 lakini akiwa na furaha kubwa kwani ndiyo amekabidhiwa rasmi ofisi ya Mbunge jimbo la Mikumi.
Katika taarifa yake yenye mameno machache kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Facebook alisema kwamba:-
Asante
sana Mungu leo nimetimiza miaka 40 tangu Nimezaliwa .... I dedicate
this birthday kwa watu wangu wote wa MIKUMI na leo ndio tumeifungua
rasmi ofisi ya MBUNGE ya MIKUMI baada ya kukabidhiwa Funguo na kuifanyia
Usafi kwa pamoja tayari kwa kusikiliza changamoto za wana mikumi,
Ushauri na maoni ya jinsi gani tunashirikiana pamoja na wana Mikumi
kuweza kuleta mabadiliko na maendeleo ya MIKUMI YETU... EEE MWENYEZI
MUNGU TUSAIDIE!!!.
Akifanya usafi ofisini kwake
Akila kiapo kuwa mbunge wa Jimbo la Mikumi
Akiwa anaingia Bungeni kwa mara ya kwanza
Akiwa kwenye kikao cha madiwani
Akitekeleza shughuli za maendeleo kwenye usimamizi wa barabara jimbo la Mikumi
No comments:
Post a Comment