Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Taarifa ambazo zimetufikia ni kwamba zaidi ya watu 20 wameuwa nchini Kenya katika mapiganio ya kikabila na si shambulio la kujitoa mhanga kama ambavyo tulieleza hapo awali. Taarifa kutoka Kenya zinaeleza kwamba tukio hilo lilitokea kwenye eneo la Wajir nchini.
No comments:
Post a Comment