Wednesday, September 2, 2015

Watu wanaishi baharini yagundilika Ufilipino

Hii ni jamii ya wavuvi inayopatikana katika nchi ya Ufilipino. Ni miongoni mwa makabila nchini humo yanayoeshimu utamaduni na mila zake kwani kwa zaidi ya karne tatu imeendelea kuishi kwenye maisha ya baharini ambapo zaidi imekuwa ikivua kwa ajili ya matumizi ya chakula tu na kama ikitokea ziada ndiyo huuzwa. Kabila hili linaitwa Tagbanua ambao mahali linaloishi hakuna huduma ya umeme, hospitali wala maduka ila wanaishi kwa kutegemea bahari pekee. Picha kwa hisani ya Jacob Maentz  wa gazeti la dailymail la Uingereza.

 Uvivi
 Makazi na mapishi
 Mkeka wa kulalia
 Uvuvi
 Makazi ya kijijni
 Usafiri
 Uvuvi
 Uvuvi
 Uvuvi kwenye kina kirefu
 Boti ya uvuvi
 Boti ya uvuvi
 Kijiji
 Kundaa samaki
 Wavulana wasanii wakiwa tayari kufanya kazi ya kuchekesha
 Uvuvi
 Mapishi
 Kijijini
 Akina mama
 Usafiri
 Mandhari
 Boti ya uvuvi
 Kutoka nyumbani kuelekea baharini
 Furaha kazini
 Kukausha mazao ya baharini kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
 Uvuvi
 Ndoano
 Uvuvi
 Makazi
Uvuvi

No comments:

Post a Comment